USHAURI UNAPOENDA KUNUNUA SIMU MPYA
Karibu mpenzi msomaji katika makala hii fupi inayolenga kufumbua macho. Kama tujuavyo miaka ya hivi sasa kumekuwa na mapinduzi ya ajabu ya ki teknolojia haswa kwenye upande wa simu zetu za mkononi. Sasa unapoenda kununua simu ili uende na teknolojia ya kisasa ni lazima ufahamu simu unayoenda kununua inatakiwa iwe na sifa gani au na vitu gani. Hivyo itakupasa ku zingatia yafuatayo:
1.Teknolojia mpya
Tunapozungumzia teknolojia mpya hapa tunaanzia nje ya simu hadi ndani ya simu. Sasa ili uweze kuwa na simu ya kisasa lazima uhakikishe unanunua cm yenye teknolojia ya kisasa.
Kwa ushauri hapa usinunue simu yenye android 5.0 kushuka chini, yaani tafuta simu yenye android 6.0 na kuendelea.
Kwanini?
Hii ni kwasababu matoleo ya android yanazidi kutolewa kila mwaka na yale ya zamani yanaondolewa hivyo watengenezaji wengi wa programs(apps) wanatowa apps zao kutokana na teknolojia jinsi inavyokwenda na ndo maana unakuta kama simu yako ina android version ya kizamani basi utakuta kuna baadhi ya app za kisasa hazifanyi kazi katika simu hiyo.
2. Uwezo wa RAM
Hiki ni kitu muhimu sana pia. Watu wengi wanapokwenda kununua simu huwa hawaangalii uwezo wa RAM wa simu hiyo badala yake ataangalia camera basi(selfie addicted). Ili kuepuka kwa simu yako ku stack mara kwa mara... Mara unashangaa inajifungua ma apps bila ya wewe kufungua mara nyingi matatizo kama haya hujitokeza baada ya RAM kuzidiwa.
Hivyo basi tunarudi kwenye hiyo point ya mwanzo kabisa unaponunua simu ya kisasa basi lazima itakuwa na uwezo mkubwa wa RAM tofauti na matoleo ya Kizamani. Kutokana na teknolojia basi hata apps zinazotengenezwa kutokana na usasa wake basi zinakuwa zinahitaji nafasi kubwa kiasi katika RAM ili ziweze ku RUN ipasavyo hivyo kama utanunua simu yenye uwezo mdogo wa RAM basi utaambulia ku stack stack kwa simu.
Kumbuka uwezo wa RAM hulandana sana na uwezo wa Processor kama nlivyokwishaga kutowa post inayohusiana na processor (soma hapa kama ulipitwa na somo kuhusu processor ya simu yako). Kwahivyo RAM ikiwa kubwa lazma na processor yako itakuwa na uwezo mkubwa pia kama RAM yako ndogo basi lazma na ka proccessor chako katakuwa kadogo.
3. Ukubwa na uwezo wa kioo
Ukubwa na uwezo wa kioo hapa unaweza kuona labda sio kitu cha muhimu lakini ngoja nkwambie kwanini ni muhimu.
Kwa upande wa kioo mara nyingi uwezo wa kioo chako unategemea sana kudumu kwa simu yako. Unakuta umenunua simu ndani ya wiki moja tu umeangusha na kimevunjika hii ni kutokana na teknolojia ya kioo chako. ( najuwa bado unatowa macho hujanielewa😂😂)
Hapo namaanisha hivi mara nyingi vioo vya simu za zamani huwa ni vyepesi sana kupasuka kwasababu kipindi hicho makampuni ya utengenezaji wa simu yalikuwa bado hayajapata ufumbuzi au yalikuwa hayajagundua juu ya utengenezaji mpya wa vioo bora zaidi ili kutatua tatizo la simu kuvunjika udoshapo kidogo tu hivyo kama tunavyojuwa teknolojia inavyozidi kwenda ndivyo na wao wanavyozidi kuboresha zaidi mambo yao.
Kwa upande wa ukubwa wa vioo hapa mara nyingi watengenezaji wa programs za android hutengeneza program zao kwa kulenga vioo vikubwa kutokana na teknolojia ilivyo sasa( hapa watu wanaoelewa Mambo ya graphics basi wananielewa zaidi). Hii ni kwasababu kwa sasa hakuna simu yoyote inayoingia sokoni ikiwa na kioo kidogo hivyo pale unapoenda kununua simu ni vema ukachagua simu yenye kioo kikubwa kwa wastani ili kuendana na teknolojia jinsi inavyokwenda.
4. Uwezo wa battery
Hapa sikatai wengi wamekuwa wakizingatia sana kuangalia uwezo wa battery lakini wamekuwa wakiangalia kwa utofauti. Yaani mtu anaulizia battery linakaa na chaji masaa mangapi badala ya kuangalia uwezo kamili wa battery ( soma hapa kutofautisha battery za Li-ion na battery za Li-po).
Jua kwamba simu kukaa na chaji masaa kadhaa na uwezo wa battery ni vitu viwili tofauti kabisa. Hvyo basi wakati unanunua simu unatakiwa uangalie uwezo halisi wa battery lako na sio kuuliza inakaa nachaji muda gani. Hapa unatakiwa kuangalia milliampere hour(mAh) hiko ndio kipimo unachotakiwa kuangalia ili kujua uwezo kamili wa battery yako.
Hii mAh unaingalia kwenye boxi la simu yako au kama simu haitakuwa na boxi basi iangalie kwenye battery lenyewe utakuta imeandikwa (mfano 3800mAh).
Hivyo basi unapoenda kununua simu usiulize inakaa na chaji muda gani badale yake soma hiko kipimo na kwa teknolojia ya sasa battery ambayo ni nzuri inaanzia 2500mAh na kuendelea kwa battery zenye uwezo kuanzia hapo zitakusaidia kutimiza mambo yako mengi na kudumu na chaji kutokana ma matumizi yako.
5. Mengineyo
Hapa kwenye mambo mengine ya kuangalia wakati unanunua Simu yako ambayo sio ya msingi kiviile mana hapa inategemea na mnunuaji sasa unatakaje ni kama Vile mambo ya ulinzi wa simu yako may be unataka iwe na finger print, mara sijui camera ianzie mega pixel 13 na kuendelea hayo sio muhimu sana maana kitu tunaangalia kwa sasa ni simu inapigaje kazi... Mzigo unatakiwa uwe na speed ya ajabu ukibofya tu imooo😂... Anyway ebu tuishie hapo.
Mwisho
Usisahau kupita katika page yetu ya facebook na ku like ili usipitwe na post yetu yotote. Like page yetu ya facebook ili upate notification kila tunapotowa post mpya. Bonyeza hapa kutembelea page yetu ya facebook moja kwa moja.
Pia unaweza kutembelea youtube channel yetu na ku subscribe ili upate notification tutakapoweka makala yoyote kwa njia ya video. Bonyeza hapa kutembelea moja kwa moja na ku subscribe.
Share na wengine Elimu hii.

Comments
Post a Comment