TAMBUA KIASI CHA MIONZI (SAR ) INAYOTOLEWA NA SIMU YAKO
Unajuwa ni sawa watu tunakwenda na teknolojia lakini kwa upande mwingne ni muhimu sana kutambua baadhi ya mambo ambayo ni muhimu sanaa kwasababu hivi vifaa vya ki elektroniki tunavyo vitumia vimetengenezwa na makemikali ya ajabu ambayo ni sumu mbaya sana kwa afya ya mwanadamu.
Najuwa utakuwa umeshawahi kusikia kuhusu mionzi kwenye simu mara cjui inasababisha saratani mara sijui namna gani vipi lakini ukawa hata huelewi na ukaamua ku potezea na kuona aaaah fresh tu.... Sasa leo tulicheki hili jambo pia.
Unajuwa kwenye vifaa vya simu huwa vinatengenezwa kwa makemikali mbalimbali kwamfano battery la simu huwa linatengenezwa kwa kuchanganyanya makemikali mbali mbali ambapo battery hiyo inapokuwa kwenye simu inatumika huwa inatoa mionzi ambayo ikizidi huwa inakuwa sio mizuri kwa afya ya mwanadamu. Hivyo basi kwa kuliona hili nchi mbalimbali wakaweka sheria kwamba hivi vifaa vya kielectronic ni lazima vipimwe kiasi cha mionzi inayotolewa kabla ya kuingia sokoni sasa hapa ndo tunakuja kwenye lile neno kwenye title kule juu SAR.
SAR
Hili neno ni kifupi cha neno specific absorption rate... Hiko ni kipimo cha mionzi inayofyonzwa na mwili wa binadamu(RF energy) pale unapotumia vifaa vya ki electronic kama vile simu na compyuta. Kwa mujibu wa sheria za nchi mbali mbali ni lazima vifaa hivi vya kielectronic viwe vimepimwa na kuthibitisha kuwa kiasi cha mionzi inayotolewa Hakina madhara kwa binadamu ila sijajua kwa hapa nyumbani Tanzania kama kuna hii kitu sijui.
Je utajuwaje kiasi cha mionzi inayotolewa na simu yako??
Kila kampuni iliyothibitishwa kutoa cm za mkononi basi ni lazima ihakikishe kuwa simu zake zinapimwa kabla ya kuleta simu zake kwenye soko la watumiaji. Mara nyingi kampuni za simu zilizothibitishwa huonyesha kiasi cha mionzi inayotolewa na simu hizo kwenye simu za watumiaji au kupitia tovuti au website za simu hizo. Sasa basi ili kujua kiasi cha mionzi inayotolewa na simu yako fatilia hapo chini...
Kwa watumiaji wa smartphone basi bonyeza *#07# kwenye simu yako na italeta ditails zote. Kama umebonyeza hiyo code hapo na haijaleta kitu chochote(kama mimi) inakubidi uingie moja kwa moja kwenye website ya aina ya simu unayotumia kisha utaingiza namba ya model ya simu yako ( model namba unaipatia kwenye setting kule kwenye about device).
Bonyeza jina la simu unayotumia.
Samsung
Sony
huawei
LG
Apple
Motorola
( kwa watu wa tecno nimekosa ila mnaotumia simu nyingne ambazo cjataja hapo juu jaribuni kutafuta kwenye website mbalimbali).
Baada ya kutazama hapo juu na ukaona ni kiasi gani cha miozi inayotolew na simu yako sasa ngoja tuangalie ni kiasi gani cha mionzi ni salama kwa afya yako.
Kiasi cha mionzi salama kwa afya yako.
Kwa mujibu wa FCC marekani kiwngo kidogo cha mionzi ndio salama kwa afya yako kwa mfano kuna simu zina kiasi cha mionzi 0.4 na simu nyingine utakuta zina 0.6 au hata 0.5 zote hizi ziko salama ila kama imezidi 0.51 hii sio salama na vema ukajuwa hili kabla ya kununua simu yako pitia link hiyo hapo kwenye bracket ili kusoma mengi zaidi bonyeza hapa.
Njia za kujilinda na mionzi hii.
Simu nyingi ambazo hazijathitishwa huwa na kiwango kikubwa sana cha mionzi haswa simu za kichina kwahvyo ni vema tukaacha kununua simu za kichina ambazo hazina tovuti wala maelezo kuhusu usalama wa afya ( kumbukeni tecno mi nimekosa website yao ya kuonyesha kiasi cha mionzi inayotolewa na simu zao... Hivyo basi em ukipata shusha comment watu wakacheki kabla ya kukosa amani kabisa na simu zao) na hivyo basi ni vema kununua simu kutoka makampuni ambayo ni trusted kama vile Samsung na mengineyo kama nilivyoonyesha kule juu kwenye zile link.
Pia kitu kingne usitumie simu yake pale inapokuwa imechemsha yaani imekuwa ya moto kwasababu mionzi hii hutolewa pale simu inapokuwa na joto kali
Kitu cha mwisho hebu kama unataka kuongea na simu kwa muda mrefu dk 15 na kuendelea, hebu tumieni headphones au kama huna headphone weka loud speaker alafu simu iweke kitandani au iweke mahali inategemea na ulipo ila usiiweke sikioni kwasababu madhara yake ni makubwa kama ilivyooneshwa pichani hapo chini.
Bonyeza hapa kuangalia top 20 ya simu zenye kiwango kikubwa cha mionzi na simu zenye kiwango kidogo cha mionzi..
Natumaini hapo leo utakuwa umejifunza kitu sasa dondosha screenshot tuone simu yako inatoa mionzi kiasi na wengne waone.
Msisahau ku share mara nyingi muwezavyo ili Elimu hii iwafikie watu wengi pia msisahau ku like page yetu iliyoko facebook bonyeza hapa ili usipitwe na post yoyote ile itayotolewa.
TWoTT

Picha hii inafahamika kwa jina la thermography ikionyesha kabla ya Mtu kuongea na simu kwa muda wa dakika 15 na Baada ya dakika 15. |
Bonyeza hapa kuangalia top 20 ya simu zenye kiwango kikubwa cha mionzi na simu zenye kiwango kidogo cha mionzi..
Natumaini hapo leo utakuwa umejifunza kitu sasa dondosha screenshot tuone simu yako inatoa mionzi kiasi na wengne waone.
Msisahau ku share mara nyingi muwezavyo ili Elimu hii iwafikie watu wengi pia msisahau ku like page yetu iliyoko facebook bonyeza hapa ili usipitwe na post yoyote ile itayotolewa.
TWoTT
Comments
Post a Comment