FAHAMU KUHUSU ANTENNA BANDS KWENYE SIMU YAKO
Kwa simu nyingi ambazo zimetengenezwa kwa metal bodies na ambazo hazifunguki nyuma mara nyingi ukichunguza aina nyingi ya simu hizo basi utakuta zina mistari meupe kwa nyuma juu na chini kama uonavyo kwenye picha hapo juu hiyo mistari sio urembo. Sasa ngoja nkufahamishe mistari hiyo ni vitu gani kwa kifupi kabisa.
Maana ya Antenna Bands
Hiyo mistari jina lake ni Antenna bands. Kazi yake ni ku convert electric power signals kwenda katika Radio signals na hivyo hivyo kinyume chake. Yani kwa kifupi yenyewe huwa inapokea (receive) na kusafirisha( transmit ) mawimbi.
Ushauri
Kwa wenye simu za namna hiyo muwe mna zi visha cover simu zenu ili kuepusha kukwanguka kwa mistari hiyo. Kukwangulika au kuharibika kwa mistari hiyo hupelekea simu kuwa na matatizo ya mtandao. Mfano mtu unaweza ukaingia ndani alafu simu inapoteza network ila ukitoka tu nje inashika kama kawaida.
Natumaini kwa Ka Elimu haka kadogo utakuwa umejifunza kitu siku ya leo. Usisahau kutembelea page yetu iliyoko Facebook kwa kubonyeza hapa kisha like ili upate notification kila tunapotowa post mpya.
Share na wangine.

Comments
Post a Comment